Shamedy Jogging na maandalizi kuelekea masumbwe kujumuika na mbogwe Jogging kesho jumamos k**a marafiki
Sukuma land
Karibu tukuunge na group letu la Whatsapp WASUKUMA MIKOA YOTE ๐น๐ฟ
Tuma neno NIUNGE WASUKUMA KWENDA NAMBA 0629192753
08/06/2026
Sema group la WASUKUMA MIKOA YOTE๐น๐ฟ WhatsApp uhuru umezidi sana๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Vibe la wana Shamedy jogging club kutokea municipal kahama
05/06/2026
Baadhi ya wanagroup la Wasukuma mikoa yote ๐น๐ฟ jana wamepata nafasi ya kushiriki kumsaidia kuvuna mpunga mwanagroup mwenzao huko shinyanga kahama
ni upendo wa dhati wameonyesha kwa mwanagroup mwenzao kwani ni kitu ambacho siyo rahisi kufahamiana kwa njia za mitandao na kuweza kushirikiana na kusaidizana majukumu ambayo ni kitu ambacho lakini group la WASUKUMA MIKOA YOTE ๐น๐ฟ limeweza
k**a unataka kuungwa kwenye group letu la WhatsApp tuma neno niunge WASUKUMA kwenda namba 0629192753 utaungwa chap
25/05/2026
Allan okello ashakuwa kelo huko
22/05/2026
Mbona dogo anapenda kujiamulia mambo mwenyewe
21/05/2026
Rio kaletwa na nani tz na kwa faida zipi? dondosha maoni yako
13/05/2026
Kilichomtoa Djigui Diarra hiki hapa๐๐
Diarra hakuona umuhimu wa kuendelea kulinda lango ingali yanga tayari imesharuhusu goli, diarra baada ya kuharibiwa crean sheet yake hakuona umuhimu wa kuendelea kutetea lango lake na kuona kheri amuachie nafasi golikipa mwenzie nae apate nafasi
ukiangalia mchezaji huyu kwa sasa kitu pekee anachokipambania ni yanga isiruhusu goli, kwani mpaka sasa diarra anaongoza kwa crean sheet.
11/05/2026
Baadhi ya Wanafamilia wa group la WASUKUMA MIKOA YOTE ๐น๐ฟ tulipata muda wa kukutana maeneo ya kahama
tunapatikana Kwenye group la Whatsapp k**a unahitaji kuungwa tuma neno niunge WASUKUMA kwenda namba 0629192753
10/05/2026
Tumu follow mwanetu huko Instagram Kaka Emma George
Click here to claim your Sponsored Listing.
