"KIFURUSHI" IS NOW OFFICIALLY OUT AND AVAILABLE FOR VIEWING ACROSS PUBLIC TRANSPORT SERVICES!
This powerful production delivers an important message on the dangers of drug trafficking and the consequences of carrying packages or luggage whose contents are unknown.
Watch, learn, and share the message with others.
SAFE TRANSPORTATION WITHOUT DRUGS.
DrugFreeTanzania
dcea_tz
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from dcea_tz, Government Organization, 8 Kivukoni Road, Dar es Salaam.
The Drug Control and Enforcement Authority (DCEA) has the functions of define, promote, coordinate, and implement all measures geared towards control of drugs, drug abuse and trafficking in drugs.
13/06/2026
Usafiri salama bila dawa za kulevya.
Akizungumza katika uzinduzi wa filamu, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesema, filamu ya Kifurushi " The Package " imeandaliwa kuonesha uhalisia wa namna mtu anavyoweza kuingia katika mtego wa mtandao wa wahalifu wa dawa za kulevya kwa kubeba kifurushi au mzigo asioufahamu.
Amesema lengo ni kuhamasisha wananchi kuwa waangalifu na kutokubali kubeba mizigo au vifurushi vya watu wengine bila kufahamu vilivyomo, kwani vinaweza kuwa na dawa za kulevya au vitu vingine haramu vinavyoweza kuwaingiza katika matatizo makubwa ya kisheria na kijamii.
Akizungumza katika uzinduzi wa filamu ya "The Package" , Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Dkt. Gervas M. Kasiga, amesema Bodi itaendelea kuhamasisha utengenezaji wa filamu zenye maudhui yenye manufaa kwa jamii ili kuhakikisha kuwa, mbali na kuwa chanzo cha mapato na kujikimu kwa wadau wa sekta ya filamu, filamu pia inakuwa nyenzo muhimu ya kuelimisha, kuhamasisha na kuleta mabadiliko chanya ya tabia katika jamii.
Usione uko salama kwa sababu tu wewe si mraibu wa dawa za kulevya. Leo unaweza kuwa unamwangalia mraibu na kusema amejitakia, lakini hujui kesho mtoto wako, ndugu yako au mtu wa karibu nawe anaweza kujikuta katika hali hiyo. Hii ni vita ya jamii nzima
Katika uzinduzi wa filamu ya Kifurushi, Jimmy Batistuta alitoa ushuhuda wake akieleza madhara makubwa aliyoyapata kutokana na kujihusisha na usafirishaji wa dawa za kulevya, huku akiiasa jamii, hususan vijana, kuepuka kushiriki kwa namna yoyote katika biashara au usafirishaji wa dawa hizo kutokana na athari zake kwa maisha ya mtu binafsi, familia na taifa kwa ujumla.
Muungano Recovery Community TZ
12/06/2026
12/06/2026
Picha za kumbukumbu zikiyahusisha makundi mbalimbali
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
8 Kivukoni Road
Dar Es Salaam
S.L.P80327
Opening Hours
| Monday | 07:30 - 15:30 |
| Tuesday | 07:30 - 15:30 |
| Wednesday | 07:30 - 15:30 |
| Thursday | 07:30 - 15:30 |
| Friday | 07:30 - 15:30 |
