Tanzania Commission for Universities

Tanzania Commission for Universities

Share

Promoting accessible, equitable, harmonised and quality university education systems in Tanzania

03/06/2026

Invitation to Participate in the Conference

Photos from Tanzania Commission for Universities's post 01/06/2026

Picha za matukio katika ziara ya Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Makenya Maboko katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Stella Maris Mtwara (STeMMUCo), leo Juni 1, 2026.

Katika ziara hiyo, Prof. Maboko ameambatana na Katibu Mtendaji wa TCU, Prof. Charles Kihampa katika kutekeleza jukumu la Tume la Kufuatilia na kutathmini maendeleo pamoja na changamoto za vyuo vikuu ili kutoa ushauri katika maeneo yanayohitaji uboreshaji.


Photos from Tanzania Commission for Universities's post 01/06/2026

Picha za matukio katika ziara ya Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Makenya Maboko katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya - Kampasi ya Mtwara (MUST - Mtwara Campus), leo Juni 1, 2026.

Katika ziara hiyo, Prof. Maboko ameambatana na Katibu Mtendaji wa TCU, Prof. Charles Kihampa na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya chuo hicho.

Aidha, katika ziara hiyo ya kikazi, Mwenyekiti wa Tume amepokelewa na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo - Taaluma, Tafiti na Ushauri wa Kitaalamu, Prof. Said Ali Vuai na kutembelea maeneo yenye miundombinu ya kufundishia na kujifunzia yaliyopo katika chuo hicho.

Ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara ya Tume katika vyuo vikuu vyote nchini ikiwa ni sehemu ya jukumu lake la kufuatilia na kutathmini maendeleo pamoja na changamoto za vyuo vikuu ili kutoa ushauri katika maeneo yanayohitaji uboreshaji.


27/05/2026
16/05/2026

TCU JOGGING DAY
Dar es Salaam: May 16, 2026
Our Slogan: "Health for Excellence"

Photos from Tanzania Commission for Universities's post 16/05/2026

TCU JOGGING DAY
Dar es Salaam: May 16, 2026
Our Slogan: "Health for Excellence"

Photos from Tanzania Commission for Universities's post 16/05/2026

TCU JOGGING DAY
May 16, 2026
Our Slogan: "Health for Excellence"

Photos from Tanzania Commission for Universities's post 16/05/2026

TCU JOGGING DAY
MAY 16, 2026

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Magogoni Street
Dar Es Salaam
11000

Opening Hours

Monday 19:30 - 15:30
Friday 19:30 - 03:30