Cassim Sports

Cassim  Sports

Share

Kwa Ajili Ya Kuhabarishana Habari za Michezo na Burudani

13/06/2026

ILE ZAWADI mliyotaka kumpa WHOZU, Yanga wameshaitoa..!!

FT: MASHUJAA FC 0-2 YANGA SC
27’—⚽️ Mudathir Yahaya
90’—⚽️ Bakari Nondo Mwamnyeto

12/06/2026

🚨💣𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄: Yanga wako kwenye hatua nzuri sana za kukamilisha usajili wa Aziz Ki kutoka Libya.

Ndani ya hizi siku chacha Aziz Ki atatua nchini…..possibly weekend hii anaweza kuingia Tanzania.

12/06/2026

🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : NBC Premier League 🇹🇿

FOUNTAIN GATE FC 0️⃣➖️2️⃣ AZAM FC
⚽️ 37" Ngita
⚽️ 65" Kitambala

12/06/2026

🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : NBC Premier League 🇹🇿

COASTAL UNION FC 1️⃣➖️1️⃣ NAMUNGO FC
⚽️ 37" Savila ⚽️ 63" Luzendaze

12/06/2026

🚨𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Neymar Atakosa mchezo wa kwanza wa Brazil wa Kombe la Dunia ya Brazil dhidi ya Morocco kutokana na Jeraha na kuna hofu kubwa akakosa mchezo wa pili wa Haiti.

12/06/2026

Wameamka jioniiiiii...

Full time;

Yanga Princess 7 - 0 Bilo Queens
Aregash Kalsa ⚽️⚽️⚽️
Yemis Samwel ⚽️⚽️
Precious Christopher ⚽️
Diana Mnaly ⚽️

Bilo Queens kwasasa wanakamilisha ratiba kwani wameshashuka daraja matokeo ya aina yeyote ile hayatawasaidia.

Yanga Princess wanapata ushindi mnono zaidi kwao katika dakika za lala salama lakini vivyo hivyo watasalia nafasi ile ile waliyokuwepo nafasi y tatu.

Powered by Matukio Muhimu Sports Wear

12/06/2026

🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : World Cup Group A 🌎

MEXICO 🇲🇽 2️⃣➖️0️⃣ SOUTH AFRICA 🇿🇦
⚽️ 09" Quinones 🟥 49" Sithole
⚽️ 67" Jimenez 🟥 84" Zwane
🟥 90+2" Montes

10/06/2026

🎙️“Timu itakayofanya vibaya kwenye Kombe la Dunia la 2026 ni Portugal"🇵🇹🏆❌️

🗣 Wayne Rooney

10/06/2026

🎙️JULIO.

🗣️"Simba wao wana safu kali ya kushambulia kuliko Yanga, Yanga kwangu ni nyepesi Kabisa ila nawaheshimu, Dube ni mchezaji Opportunities sio Fighter, Pacome ana kokota vizuri, Mudathir ni mjanja mjanja, Ukiwawekea watu wa kuwakaba vizuri hawachezi, Goli 5 sio kwa Julio."- Jamhuri Kihwelo 'Julio' Head Coach Mashujaa FC kuelekea Mchezo wao Dhidi ya Yanga.

09/06/2026

Al Ahly imefikia makubaliano ya kumuajiri kocha Hussein Ammouta raia wa Morocco 🇲🇦 akirithi nafasi ya Jess Thorup.

Mkataba wa miaka miwili utasainiwa leo na Ammouta anatarajia kuwasili Egypt ndani ya masaa 48 yajayo.

Al Ahly itakuwa na uwezo wa kumfuta kazi Ammouta k**a hatofikia matakwa ya timu kwa sharti la kumlipa mshahara wa miezi mitatu.

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Dar Es Salaam