Skauti Katoliki

Skauti Katoliki

Share

UFAFANUZI:
Skauti ni jambo la hiari lisilo la kisiasa
harakati za elimu kwa vijana
watu hufungua kwa wote bila
tofauti ya asili, rangi au imani.

KUSUDI LA HARAKATI ZA Skauti:
Madhumuni ya Harakati za Skauti

12/06/2026

Kiapo cha Viongozi wapya wa Skauti Katoliki Taifa

12/06/2026

1. Trh 9/6/2026 - Uchaguzi
2. Jimboni Morogoro - Amabilis Centre
3. Mwenyekiti, Katibu na Mtunza hazina wa Skauti Jimbo, Kamati Tendaji ya Taifa iliyomaliza muda, na Mapadre Walezi wa Jimbo

Kamati Tendaji iliyomaliza Muda
1. Sterphord Kazingo - M/Kiti
2. Veronika Mwambuta - M/M/Kiti
3. James Kwembe - Katibu
4. Veronica Kikoko - M/hazina

Ikumbukwe katibu Msaidizi alikuwa Atupakisye Jabiri aliyeitwa na Bwana mwaka 2025.

Viongozi Wapya
1. Sterphord Kazingo - M/Kiti (Mwanza)
2. Veronika Mwambuta - M/M/Kiti(Singida)
3. James Kwembe - Katibu (DSM)
4. Happy Mtatiro K/Msaidizi ( Morogoro)
5. Veronica Kikoko - M/hazina (Kigoma)

Mkutano uliudhuliwa na
1. Mhashamu Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga - Askofu Mlezi Taifa - Skauti Katoliki Tanzania
2. Pd. Liston Lukoo - Padre Mlezi Taifa - Ofisi ya Vijana TEC
3. Watazamaji Kutoka Majimbo Tofauti ( waalikwa)

Tunamshukuru Mungu tumemaliza Salama.

Photos from Skauti Katoliki's post 12/06/2026

Baada ya yote walifanya ziara ya kichungaji katika Kanisa kuu la Mtakatifu Patrick .

Photos from Skauti Katoliki's post 12/06/2026

Baada ya Mkutano wa Uchaguzi, wajumbe wachache walipata nafasi kwenda kumtembelea Bahati camp Morogoro.

12/06/2026

Viongozi na wawakilishi wa Skauti Katoliki Jimbo kuu laDar es Salaam, wakiwa katika picha ya Pamoja na Mhashamu Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga - Askofu Mlezi Taifa - Skauti Katoliki Tanzania
Pd. Liston Lukoo - Padre Mlezi Taifa - Ofisi ya Vijana TEC
Watazamaji Kutoka Majimbo Tofauti ( waalikwa).

12/06/2026

Viongozi na wawakilishi wa Skauti Katoliki Morogoro, wakiwa katika picha ya Pamoja na Mhashamu Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga - Askofu Mlezi Taifa - Skauti Katoliki Tanzania
Pd. Liston Lukoo - Padre Mlezi Taifa - Ofisi ya Vijana TEC
Watazamaji Kutoka Majimbo Tofauti ( waalikwa).

12/06/2026

Viongozi na wawakilishi wa Skauti Katoliki Jimbo la Kigoma, Picha ya Pamoja na Mlezi wa Taifa Askofu Mkuu Gelvas Nyaisonga.

12/06/2026

Baada ya Uchaguzi Mkuu wajumbe walipata Picha ya Pamoja.
Hawa ndio Viongozi wetu na wawakilishi kutoka katika Majimbo katoliki Tanzania.

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Isevya
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00