TTCL Corporation

TTCL Corporation

Share

Welcome to the official page of TTCL Corporation! While we keep you updated, we are at your

The largest and leading fixed line telecommunications company in Tanzania.Currently provides voice and data communication services, to business and residential customers in Tanzania. The Company also provides network services to other licensed telecom operators.

06/06/2026

TAARIFA MUHIMU.

05/06/2026

Timu yetu ipo mtaani kwako leo kukuhudumia.Furahia Huduma ya Kasi kwa Gharama Nafuu.

TTCL Faiba Mlangoni Kwako ndio suluhisho pekee la kukuunganisha na ulimwengu wa kidigitali.

Tembelea www.ttcl.co.tz ili ujaze fomu ya kuomba huduma au wasiliana nasi kwa 0733 600060 ili tukuunganishe leo.




04/06/2026

Mbeya ndani ya Kata ya Maanga mitaa yake TTCL Faiba Mlangoni Kwako imekufikia. Jiunge nasi leo, upate intaneti ya kasi, uhakika na huduma bora kabisa kwa maisha yako ya kidijitali.

Tembelea www.ttcl.co.tz ili ujaze fomu ya kuomba huduma au Tupigie 0733600060 tukuunganishe BUREE





Photos from TTCL Corporation's post 04/06/2026

Wafanyakazi wa TTCL Mkoa wa Pwani wakiongozwa na Meneja wa Mkoa, Abdulrahim Chotta, wametembelea Kituo cha Kijitonyama FTTx Experience Centre kwa ajili ya kujifunza na kujionea kwa karibu maendeleo ya teknolojia ya kisasa ya mawasiliano inayowezeshwa na intaneti yenye kasi ya Faiba Mlangoni Kwako.

Ziara hiyo imelenga kuimarisha uelewa wa huduma za FTTx na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wateja.




04/06/2026

Mbeya ndani ya Kata ya Ilomba mitaa yake TTCL Faiba Mlangoni Kwako imekufikia. Jiunge nasi leo, upate intaneti ya kasi, uhakika na huduma bora kabisa kwa maisha yako ya kidijitali.

Tembelea www.ttcl.co.tz ili ujaze fomu ya kuomba huduma au Tupigie 0733600060 tukuunganishe BUREE





04/06/2026

Ishi kisasa, Ishi Kidigitali na TTCL Supersonic Experience.

Tembelea www.ttcl.co.tz ili ujaze fomu ya kuomba huduma au wasiliana nasi kwa 0733 600060 tukufungie buree.




03/06/2026

Mbeya ndani ya Kata ya Ilemi mitaa yake TTCL Faiba Mlangoni Kwako imekufikia. Jiunge nasi leo, upate intaneti ya kasi, uhakika na huduma bora kabisa kwa maisha yako ya kidijitali.

Tembelea www.ttcl.co.tz ili ujaze fomu ya kuomba huduma au Tupigie 0733600060 tukuunganishe BUREE





03/06/2026

Mbeya ndani ya Kata ya Forest mitaa yake TTCL Faiba Mlangoni Kwako imekufikia. Jiunge nasi leo, upate intaneti ya kasi, uhakika na huduma bora kabisa kwa maisha yako ya kidijitali.

Tembelea www.ttcl.co.tz ili ujaze fomu ya kuomba huduma au Tupigie 0733600060 tukuunganishe BUREE





Photos from TTCL Corporation's post 03/06/2026

Ujumbe kutoka Kampuni ya Kusafirisha Umeme nchini Uganda (UETCL) umetembelea Kijitonyama FTTx Experience Centre na kupongeza juhudi za Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) katika uwekezaji wake wa kukuza matumizi ya teknolojia ya kidigitali nchini Tanzania na katika ukanda mzima wa Afrika Mashariki.

Ujumbe huo umepongeza Kituo cha Kijitonyama FTTx Experience Centre kwa kutoa fursa ya kuonesha uwezo wa teknolojia ya kisasa pamoja na uwezo wa TTCL si tu katika kufikisha mawasiliano kwenye mipaka mbalimbali, bali pia kuhakikisha huduma za mawasiliano zinatumika kwa ufanisi ndani ya nchi.

Aidha, wameeleza kuwa kituo hicho ni “Innovation hub” kinachoakisi dira ya TTCL katika kukuza matumizi ya kidigitali, kuimarisha ubunifu wa kiteknolojia, na kutoa suluhisho za kisasa za mawasiliano.



03/06/2026

Mbeya ndani ya Kata ya Isyesye mitaa yake TTCL Faiba Mlangoni Kwako imekufikia. Jiunge nasi leo, upate intaneti ya kasi, uhakika na huduma bora kabisa kwa maisha yako ya kidijitali.

Tembelea www.ttcl.co.tz ili ujaze fomu ya kuomba huduma au Tupigie 0733600060 tukuunganishe BUREE





Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


EXTELCOMS HOUSE, SAMORA Avenue
Dar Es Salaam
9070

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00