Rais wa Singapore Mhe. Tharman Shanmugaratnam awasili Nchini Tanzania.
Msemaji Mkuu wa Serikali
Ukurasa Rasmi wa Msemaji wa Serikali ya Tanzania | Official account of the Chief Spokesperson of the Government of Tanzania.
Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Serikali kutokea Mkoani Morogoro , Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaaa na Michezo na Msamaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa atatoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania pamoja na kueleza mambo mbalimbali yaliyofanywa na yatakayofanywa na Serikali sambamba na kujibu maswali mbalimbali toka kwa Waandishi wa Habari, Taarifa hii itawajia kutokea Mkoani Morogoro kwenye Mradi wa Bwawa la Kidunda.
Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul C. Makonda (Mb) anaongea na Waandishi wa Habari ukumbi wa Hotel ya Hyatt Regency Dar es Salaam.
Mapokezi ya Rio Ferdinand Arusha na Kutembelea Uwanja wa Arusha yatakapofanyika Mashindano ya AFCON 2027
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dodoma
